eneo la ujenzi wa tuta la barabara ya kuingilia kwenye Kivuko cha Kilombero ambayo imebomolewa na maji ya mafuriko ya mvua na kusababisha magari kushindwa kupita eneo hilo ambalo lina urefu wa mita 65 na kipande kikubwa kubwa ni mita 30 kama walivyokutwa Mei 5, 2014 eneo hilo.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera akijiangaa kuingia kwenye boti.
Meneja wa Tanrords Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Dorothy Mtenga ( wa kwanza mbele kulia) akiwa ndani ya boti na baadhi ya viongozi wa serikali ya Mkoa wa Morogoro na wilaya za Kilombero na Ulanga, mei 5, 2014, kuelekea eneo la upande wa pili wa Ulanga.
Eneo hilo likiwa limejaa maji yatokanayo na mvua zinazoendelea kunyesha hivi sasa katika maeneo mbali mbali hapa nchini.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ( kulia) akionesha kitu wakati Meneja wa Tanrords Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Dorothy Mtenga ( kushoto ) akiangalia eneo la maji lililijaa katika mto  Kilombero mei 5, mwaka huu, wakati Mkuu huyo wa Mkoa na kamati yake ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa ilipotembelea eneo la Kivukoni kuona madhara ya mafuriko.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Joel Bendera ndani ya boti.
Wananchi wa Kilombero wakiwasafiri kwa kutumia boti baada ya barabara kuharibika.
Baadhi ya wafanyakazi wa ya ujenzi ya Kampuni ya China Railyway 15 Bureau Group Corporation, wakiwa eneo la ujenzi wa tuta la barabara ya kuingilia kwenye Kivuko cha Kilombero ambayo imebomolewa na maji ya mafuriko ya mvua na kusababisha magari kushindwa kupita eneo hilo ambalo lina urefu wa mita 65 na kipande kikubwa kubwa ni mita 30 kama walivyokutwa Mei 5, 2014 eneo hilo.(Picha na John Nditi).

photo ,

0 Responses so far.