undp1 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Bibi Hellen Clark aliyemtembelea Mei 13, 2014 Ikulu jijini Dar es salaam undp2 
 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza baada ya  mazungumzo Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Bibi Hellen Clark aliyemtembelea Mei 13, 2014 Ikulu jijini Dar es salaamundp3Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete katika picha ya ukumbusho na  na Mkuu wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) Bibi Hellen Clark na ujumbe wake aliyemtembelea Mei 13, 2014 Ikulu jijini Dar es salaam
PICHA NA IKULU

photo , ,

0 Responses so far.