Meya Ahimiza Usafi Jijini Arusha
-
Na Pamela Mollel,Arusha
Meya wa Jiji la Arusha, Maximilian Iranghe, ametoa wito wa kuimarisha
ushirikiano kati ya Halmashauri na mawakala wa ukusanyaji wa ...
7 hours ago

Nimepitia hapa leo na kuona uzuri wa nyumbani. Nyumbani ni nyumbani.
Tegemea meni mwingine wa kila siku.
asante sana bwana mloy kwa kupitia na kusifia uzuri wa nyumbani...nawakaribisha wadau wote kupitia nyumbani kwani muda mfupi tu chakula kitakuwa tayari