Nyumba nyingi kijijini kwetu huonekana hivi.Hapa ni Tukuyu...wilaya ya Rungwe


1 Response so far.

  1. Mandhali ya Rungwe huwa yananiacha hoi, kama nikifanikiwa kuwa na pesa nzuri lazima nitarudi kukaa Rungwe, si nyumbani kwetu ila nimetokea kuipenda san aardhi yake, ina kila kitu!!! na bado unashangaa nchi ni maskini. OMG! Tunahitaji msaada mkubwa.