Timu ya madaktari bingwa wa Dkt.Samia waanza kutoa huduma za kibingwa
mkoani Njombe
-
Timu ya madaktari bingwa 30 waliowasili mkoani Njombe wameanza kutoa huduma
katika hospitali za wilaya zote mkoani humo huku wito ukitolewa kwa
wananchi ku...
2 hours ago
Nimepitia hapa leo na kuona uzuri wa nyumbani. Nyumbani ni nyumbani.
Tegemea meni mwingine wa kila siku.
asante sana bwana mloy kwa kupitia na kusifia uzuri wa nyumbani...nawakaribisha wadau wote kupitia nyumbani kwani muda mfupi tu chakula kitakuwa tayari