Aliyekuwa Rais wa Benki ya Dunia akitafakari jambo......


2 Responses so far.

  1. Kujishika tama huku ni kwa kutoka moyoni ama ni kutokana na shinikizo mara nyingi binadamu tunajuta baada ya kutenda na si kujuta kabla ya kutenda,Ila nashukuru tu kwamba jamaa ameonesha mfano kwa kukubali kauchia ngazi kutoakana na kashifa,Viongozi wangapi leo wanakubali kufanya hivi wanataka tu waendelee kurudisha nyuma maendeleo kwa kujinufaisha wenyewe na kufanya ufuska

  2. inaonekana hapo mzee alikuwa kwenye bahari ya mawazo...kuutema urais wakati bado unaupenda sio kazi rahisi
    big maduhu kwa kujiunga na kijiji hiki