Afande Sele akiwa katika pozi ndani ya gari lililokuwa likitumiwa na tour ya wanaume halisi na ndege tunduni...jamaa anatisha sana katika utunzi wa mashairi yaliyokwenda shule....Kitururu unamzungumziaje mshikaji huyu?...toa hoja


1 Response so far.

  1. Huyu msanii mwenye kuona mbali kwa darubini kali bwana!Mashairi yake yanabeba bomba la ujumbe.