PINDA ATAKA HAKI MCHAKATO WA WAGOMBEA
-
Na Oscar Assenga,TANGA
WAZIRI Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM)
Taifa Mizengo Pinda amehimiza viongozi waliopewa dhamana...
7 hours ago
Huyu bwana anaitwa Laurent Desire Kabila. Mwanaharakati kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo zamani Zaire.Mwanaharakati huyu alianza harakati za kupigania haki miaka ya sitini na alifanikiwa kuudondosha Utawala wa Mobutu Sese Seko Kuku Ngubendu wa Zabanga zamani Josefu Mobutu.Mwanaharakati huyu aliuawa na mmmoja wa walinzi wake aitwaye Rashid. Mara tu baada ya kifo chake mtoto wake Joseph Kabila alitwaa madaraka ya babaye.