Hili ndilo Fuvu la chief wa wahehe....MKWAWA likiwa katika sehemu ya makumbusho huko Kalenga-Iringa.Fuvu hili lilirudishwa nchini Tanzania (Tanganyika kwa wakati huo) na serikali ya kijerumani mwaka 1954 kwa kuzingatia mkataba wa versaile mwaka 1919 ulioitaka serikali ya kijerumani kulirudisha fuvu hilo.
Chief Mkwawa inasemekana alizaliwa kati ya mwaka 1855 -1898 akiwa mtoto wa Mwinyigumba aliyefariki mwaka 1879


0 Responses so far.