Hivi karibuni nikiwa katika safari yangu kuelekea ughaibuni....Mbeya Kampas..niliamua kushuka mji kasoro Bahari ili kusalimia ndugu na jamaa...hapa ni maeneo ya kilakala sekondari...kwa nyuma safu za milima ya uluguru zinaonekana live bila chenga.
Tatizo la kujiunganishia mipira ya maji halipo Dar peke yake...
Bahadhi ya barabara za mji kasoro bahari zinavyoonekana...muda mfupi tu ujao nitakuwa naelekea ughaibuni...tutakutana hukohuko
WANANCHI WAENDELEA KUELIMISHWA UFUGAJI WA NYUKI
-
Wananchi wanaendelea kuelimishwa kuhusu ufugaji wa nyuki kuwa ni fursa
kubwa ya kipato na maisha bora kwani nyuki wanatupa asali yenye thamani
kubwa so...
1 hour ago
0 Responses so far.
Post a Comment