Flora Mbasha ndege wa Tanzania aipeperushaye bendera ya Injili kwa Mataifa yote.

Ni mtoto aliyezaliwa katika familia ya watoto watatu ya mzee moses kulola. Ana mtoto mmoja wa kike ajulikanaye kama Elizabeth aliyezaa na mume wake Emanuel Mbasha.


0 Responses so far.