Kwa mbali Turubai likionekana...wanafunzi wakiwa katika majonzi makubwa baada ya kupotelewa na mwanafunzi mwenzao...Rajabu Tenga aliyeuawa na majambazi jana jioni baada ya majambazi hayo kuvamia supamaket iliyoko karibu na chuo kikuu Mzumbe Mbeya campas.

WAOMBOLEZAJI
Belius na Mimi Tukiwa katika hali ya huzuni baada ya kupotelewa na mwimbaji mwenzetu (marehemu Tenga) tuliyekuwa tukiimba nae pamoja katika kundi la A cappella la Mzumbe Brothers.Marehemu Tenga alikuwa akiimba sauti ta nne (bez)
Huzuni ikiwa imetawala katika msiba...hapa wanafunzi wanasikiliza maelezo kutoka kwa mawaziri wa serikali ya wanafunzi (hawapo pichani)

Kaka wa marehemu Tenga akilia kwa uchungu baada ya kufika chuo akitokea dar es salaam

photo

0 Responses so far.