Kama nilivyowaambia kuwa muda mfupi nitakuwa ughaibuni Mbeya kampas.....picha hii nimeichukua Tukuyu mjini...wilaya ya Rungwe...sasa kaa mkao wa kula kukuletea nyuz zinazojili huku.....Mbeya kampas

photo

0 Responses so far.