WAHITIMU MAFUNZO YA JKT KWA MUJIBU WA SHERIA WASISITIZWA UZALENDO
-
Na Elizaberth Msagula,Lindi
VIJANA waliohitmimu mafunzo ya awali ya kijeshi ya jeshi la kujenga Taifa
(JKT) wamehimizwa uzalendo,uaminifu na uadilifu k...
44 minutes ago
Huyu bwana anaitwa Laurent Desire Kabila. Mwanaharakati kutoka Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo zamani Zaire.Mwanaharakati huyu alianza harakati za kupigania haki miaka ya sitini na alifanikiwa kuudondosha Utawala wa Mobutu Sese Seko Kuku Ngubendu wa Zabanga zamani Josefu Mobutu.Mwanaharakati huyu aliuawa na mmmoja wa walinzi wake aitwaye Rashid. Mara tu baada ya kifo chake mtoto wake Joseph Kabila alitwaa madaraka ya babaye.