Hii ndiyo njia inayoelekea kituo cha watoto yatima Simike jijini Mbeya.......Kituo cha Simike kimeanzishwa miaka 17 iliyopita, wadau naomba niwapeleke moja kwa moja mkajionee wenyewe mandhari ya huko ili tusaidiane kwa pamoja katika kuwasaidia hawa wadogo zetu.
Safari yangu kuelekea kinjia hiko juu ilianzia hapa
PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA KITUO KIPYA CHA MAFUTA MKOA WA SINGIDA
-
Na Mwandishi Wetu
Puma Energy Tanzania imezindua rasmi kituo chake kipya cha mafuta katika
Mkoa wa Singida, hatua inayoonyesha dhamira yake ya kupanua up...
27 minutes ago
Duh!Mitaa ya simike sijakatiza tokea mwaka 80. Umenikumbusha mbali.
Blogu hii ina ladha ninayoipenda. Kazi nzuri!