Hii ndiyo njia inayoelekea kituo cha watoto yatima Simike jijini Mbeya.......Kituo cha Simike kimeanzishwa miaka 17 iliyopita, wadau naomba niwapeleke moja kwa moja mkajionee wenyewe mandhari ya huko ili tusaidiane kwa pamoja katika kuwasaidia hawa wadogo zetu.
Safari yangu kuelekea kinjia hiko juu ilianzia hapa
TBS YAWATAKA WAFANYABIASHARA WA VIPODOZI KUSAJILI BIDHAA HIZO
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limewataka wafanyabishara wa bidhaa za
vipodozi kuhakikisha wanasajili bidhaa zao , kuthi...
16 minutes ago
Duh!Mitaa ya simike sijakatiza tokea mwaka 80. Umenikumbusha mbali.
Blogu hii ina ladha ninayoipenda. Kazi nzuri!