Sehemu ya Movie ya WORLD OF BENEFIT. Washiriki wakiwa kazini
Wasanii wa Bongo Movie wakiwa katika location tayari kwa Movie mpya ya WORLD OF BENEFIT kashiriki Rose Ndauka, Hemed Phd, Timbulo, mzee Chilo, mama Mjata, Awadh na wengine wengi. Kila la Kheri Bongo Movie

Picha kwa hisani ya Mcddenis Mgatha

photo

0 Responses so far.