Kiongozi wa taasisi ya Uamsho Sheikh Ponda akiwasili katika mahakama ya Hakim Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akiwa chini ya ulinzi mkali. Sheikh Ponda na wenzake walipatikana na kesi ya kujibu na leo wanaanza kujitetea mbele ya mahakama hiyo.

Picha kwa hisani ya Advocate Nyasebwa

photo

0 Responses so far.