Mfereji unaokatisha karibu na ofisi za Idara ya Maji Morogoro umekuwa kero hasa kipindi cha Mvua kwakuwa miundombinu ya mfereji huo haijawahi kufanyiwa usafi kwa muda mrefu hali inayofanya maji kushindwa kupita na hatimaye kusababisha mafuriko katika maeneo hayo


Watendaji wa Manispaa Mnaombwa mlitazame tatizo hili

photo

0 Responses so far.