Wakili Msomi Valentine Kamugisha (mwenye shati Jeupe) akiwa na Mwasisi wa Blog hii Mheshimiwa Amani Mwaipaja ndani ya Banda la Sheria lililomo ndani ya viwanja vya maonyesho ya wakulima Nanenane Morogoro
 Waikili Msomi Valentine Kamugisha akiwa nje ya Banda la SheriaBANDA LA SHERIA LAWA KIVUTIO NANENANE
Banda la sheria lililomo ndani ya viwanja vya maonyesho ya wakulima nanenane Morogoro limekuwa kivutio kwa watu mbalimbali wakiwemo wakulima, wanafunzi na wanasheria kutokana na ukweli kuwa Banda hilo limekuwa likitoa msaada wa kisheria kwa watu mbalimbali wenye matatizo ya kisheria.

Mbali na banda la sheria kutoa ushauri kuhusu masuala ya kisheria lakini ndani ya banda hilo kuna vitabu, vijarida na vipeperushi mbalimbali vinavyohusu sheria mbalimbali za nchi yetu
 
 

+-

photo

0 Responses so far.