Moja ya kitabu kilichoandikwa na Mwanasheria Amani Mwaipaja ambaye ni Mwasisi wa Blog hii kikiwa kimeandikwa kwa lugha ya kiswahili chepesi ili kumwezesha mwananchi wa kawaida kusoma na kuelewa haki mbalimbali alizo nazo.

Kitabu hiki ambacho kimeanza kusambazwa maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Morogoro kinahitaji kufikishwa kila sehemu ya Tanzania ili kumsaidia mwananch wa kawaida katika kuifikia haki yake.

Kwa atakayehitaji kuwa wakala wa kitabu hiki ndani ya Tanzania anaombwa kuwasiliana na blog hii kwa mawasiliano yaliyopo hapo juu ili apewe utaratibu

photo

0 Responses so far.