Wanasheria Amani Mwaipaja (Mwenye Fulana) ambaye pia ni mwasisi wa Blog hii akiwa na Mwanasheria Msomi Berious Nyasebwa walipokutana na kutembelea ofisi  ya Blog hii mkoani Morogoro 

Wanasheria hao wameishauri timu ya Mwaipaja Blog kujikita zaidi katika habari na matukio ya kijamii yanayotokea mkoani Morogoro kwakuwa wadau wengi wanahitaji kufahamu yale yanayotokea katika jamii hususan maeneo ya vijijini

photo

0 Responses so far.